Najuta Kumsomesha Julai 06, 2023 NAJUTA KUMSOMESHA Najuta leo najuta Majuto ni mjukuu Mwenzenu yamenikuta Nimeshavunjika guu Wakubwa walinambia Masikio nikaziba. Hata ada ...Read More
Moyo Wangu Tulia Februari 26, 2023 Sitaki tena sitaki,moyo wangu usumbuke Sitaki nipate hiki,rohoni nihangaike Sitaki nipate kiki,wa jamii wanicheke Moyo wangu we tulia...Read More
Ushaha ni Nini ? Februari 19, 2023 Mtunzi: Mohamedi Bakari Al Mufti Mombasa,Kenya Yuwauza muuzaji, ushaha ni kitu gani? Aomba ujulishwaji, apate yake bayani, Ili utatizikaji...Read More
Rwanda ni Kabila Moja Februari 19, 2023 1. Wasalam-aleikumu, hadhira hini azizi, ninawagea nudhumu, yakinifu tena wazi, n'kipenda mzifahamu, habari za pande hizi, RWANDA N...Read More
Lugawa Februari 19, 2023 Shairi hili limeandikwa na: HAMIS A.S. KISAMVU 0715311590 kissamvujr@gmail.com Baitu shi'ri- Mabibo Dar es salaam - Ta...Read More
Shairi-Kheri na Shari Februari 04, 2023 KHERI NA SHARI Palipo dhiki na tabu, matatizo na michosho Maisha yenye adhabu, shida na mihangaisho Hapo kunalo jawabu, kheri nayo suluhis...Read More
Naikumbuka Morogoro-ujumbe maridadi kwa mshairi nguli wa kiswahili toka nchini Rwanda. Juni 01, 2018 NAKUMBUKA MAROGORO, VIKINDU NA MIBURANI. ******************************** 1. Namshukuru Karima, Hadi leo kuniweka, ...Read More
Vituko vya ndoa za siku hizi. Mei 31, 2018 NDOA HIZI vipi mkutane leo, leo leo mpendane , Bila kupimana peo, mbio mbio muoane, Pasi na mazingatio, pendo pen...Read More
Asema:sing'ooki NG'O ! ! ! ! ! ! ! ! ! Mei 24, 2018 yanilazimu nicheke, mtakapo kunitoa, Na mwingine mumuweke, baada ya kuning'oa Mnazua sekeseke, ili nibaki na doa, sing'oki n...Read More
SOMO-Madhara ya ndugu kuchukiana. Mei 22, 2018 NDUGU WASIOPENDANA Ndugu wasiopendana, huwa wananishangaza, Haswa wanapokanana,huku wakijiapiza, Tena wakitukanana, na man...Read More
Mimba na Kifungo Mei 05, 2018 MIMBA NA KIFUNGO. Nawaza tu peke yangu, kwa haya yalonikuta, Tamu imekuwa chungu,mfaume ninajuta, Niokoe mungu wangu, madhira yani...Read More
Ushairi si uzee Aprili 01, 2018 USHAIRI SI UZEE Tuepuke kukariri, muda ushabadilika Ujuzi wa ushairi, upo kwenye kila rika Acha nivunje pingiri, watu wali...Read More
MUME AMEKUIBIA Machi 31, 2018 MUME AMEKUIBIA Mama Joti! Mama Joti!, hebu njoo mara moja Wala usije na kiti, naharaka sitangoja Tena...Read More
SIKU MOJA NITAKUA Machi 31, 2018 SIKU MOJA NITAKUA Mimi nitakapokua, nitauacha utoto Mazuri nitayajua,mepesi pia mazito Hatamu nitachukua, kukitafuta kip...Read More
USHAIRI NA SAYANSI,NINGELISOMA SAYANSI Machi 31, 2018 NINGELISOMA SAYANSI Lile neno ningejua, huja mwisho wa safari Leo ndio nang'amua, Shari Kamili si kheri Sina...Read More
Tabia ya muungwa- Hamisi Kisamvu Mkanyaji Machi 30, 2018 TABIA YA MUUNGWANA Kuno kunena kunena, leo nalinena hili Nalinena kwa mapana, kwa lugha ya kiswahili Tabiaze muung...Read More
Pumzika Kwa Amani Tambwe Hiza Februari 09, 2018 1) Kifo ni haki yetu,wote kitatuchukua Hakuna myongoni mwetu,kitakae mbakiza Kifo ni kivuli chetu,nasi kipo twatembe Pumzika kwa...Read More