Mchumba Hasomeshwi Julai 06, 2023 Kakudanganya nani, Unipeleke chuoni, Hukumuona Hassani, Livyokufa kitanzini, Kisa kuzama penzini, Na kumsimesha Jasmini, Ulijizima fahamu ...Read More
Najuta Kumsomesha Julai 06, 2023 NAJUTA KUMSOMESHA Najuta leo najuta Majuto ni mjukuu Mwenzenu yamenikuta Nimeshavunjika guu Wakubwa walinambia Masikio nikaziba. Hata ada ...Read More
Nakukumbuka Mwendani Juni 11, 2023Mtunzi: Jane Davis WhatsApp +255657360750 jmwanizuwa@gmail.com Ni usiku wa manane Edna anashtuka kwenye njozi,anafikicha macho kisha anatiz...Read More
Hekima ya Bi Mkali Mei 15, 2023 Wasaa umetimu, kaa kitako sikimbie, Msijivike wazimu, ghafla mnivimbie, Weka chini hiyo simu, hekima niwaambie, Sikiza Hizi hekima, hekima...Read More
CHINUA ACHEBE: ALL QUIET ON THE EASTERN FRONT Machi 21, 2023 In Memory Of Chinua Achebe Who Died 10 Years Ago On 21 March 2013, Wale Okediran, Former National President Of The Association Of Nigerian...Read More
The Last Masoxi Machi 16, 2023 THE LAST MASOXI by the Angolan author, Beni Dya Mbaxi ( a literary pseudonym of Bernado Afonso) is the story of Masoxi, a woman who was th...Read More
Ushaha ni Nini ? Februari 19, 2023 Mtunzi: Mohamedi Bakari Al Mufti Mombasa,Kenya Yuwauza muuzaji, ushaha ni kitu gani? Aomba ujulishwaji, apate yake bayani, Ili utatizikaji...Read More
Rwanda ni Kabila Moja Februari 19, 2023 1. Wasalam-aleikumu, hadhira hini azizi, ninawagea nudhumu, yakinifu tena wazi, n'kipenda mzifahamu, habari za pande hizi, RWANDA N...Read More
PAWA'S BOOK OF THE WEEK,FRIENDS Februari 15, 2023 PAWA'S BOOK OF THE WEEK (Week 50, Second Edition) In her first work of fiction, the then ten year old Ugandan author, Bonita Treasure ...Read More
Tunzo za ushairi zaanza rasmi. Juni 05, 2018 Shindano la tuzo ya Ushairi ya Ebrahim Hussein limefunguliwa rasmi. Ewe mshairi uliopo Tanzania wasilisha tungo yako kabla ya tarehe 31...Read More
Wimbo wa NIMWAGE RADHI-SIRI NZITO YAFICHUKA. Mei 26, 2018 Mudhihiri Njonjolo,muandishi wa makala hii. JE!HUENDA MRISHO MPOTO (MJOMBA)ANAUSHANGILIA UTAWALA WA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWA W...Read More
Mbinu mpya ya kuipoteza Gaza katika uso wa Dunia Mei 17, 2018 TUWAGOMBANISHE 1)Tumeichoka amani,iliyopo duniani Tukawatie vitani,waishi kimashetani Tukawavishe medani,tuue yao...Read More
UJUMBE WA LEO-Pole kwa Swaumu. Mei 17, 2018 POLE KWA SWAUMU. 1)Japokuwa nalegea,ila katu sitochoka Siku nazo zakimbia,taratibu zaondoka Hazito tusubiria,kwa kasi zitaondo...Read More
Chocheeni-Mgorogoro wa Israeli na Palestina. Mei 15, 2018 CHOCHEENI. 1)Alievuka mipaka,ya utu kwake hakomi All na roho ya paka,hukomi wake ulimi Kote hujenga vira...Read More
Mama wa Thamani Mei 13, 2018 MAMA WA THAMANI. 1)Dua njema nakombea Mama ngu ulonilea Mpaka Leo nimekua Japo kwako ni mtoto. 2)Mengi nimeyapitia Kip...Read More
Ujumbe wangu wa Mei mosi Aprili 30, 2018 1)Mamkuzi na salamua,juu yenu iwe amani Salamu kwetu muhimu,tena jambo la imani Kusalimu yalazimu,ni kale tangu zamani Mei mosi...Read More