Tamasha za Ushairi za Arusha Poetry Club katika picha
Siku chache zijazo tutaandika kwa kirefu zaidi kuhusu makundi mbalimbali ya ushairi lakini leo tuanze kwa kutazama kidogo matukio tofauti katika picha ynayofanywa na kikundi cha ARUSHA POETRY CLUB cha mkoani Arusha.
kutoka kushoto:Ngendi wa mtaa,Edmund Azaza,Idd Ninga,Francuis Lucas Wangiri,Mzungu ambae hakupatikana jina lake haraka,na IJ. |
Mama C pamoja Ngendi |
washairi na mashabiki wao muda mfupi baada ya kumalizaa onyesho la ushairi pale Themi Garden Arusha. |
Post a Comment