Header Ads

test

KARIBU KATIKA BLOG YA MIMI MALENGA

Habari mdau wa sanaa ya ushairi Tanzania.
kwa mara ya kwanza kabisa ninayofuraha kuitambulisha blog rasmi ya mimi malenga ambayo itakuwa ikikuletea habari mbalimbali na taarifa zihusuzo washairi na lugha ya kiswahili ndani na nj ya Tanzania.
blog hii itasimamia mkatika kutangaza ushairi na lugha ya kiswahili bila ya kujali aina yeyote ya ubaguzi.
MIMI MALENGA pia itakuwa ikukuleta habari mbalimbali za sanaa zenye mahusiano na ushairi.
tutatazama maisha na harakati za washiri na lugha ya kiswahili duniani.
tutasimamia katika kuelezea historia na maisha ya washairi wa sasa na wa zamani.
Tunaahidi kufanya ushirikiano na kila mshairi wa Tanzania na nje ya Tanzaniia.
KARIBUNI WOTE.

  
 

Maoni 2 :

  1. Nimependa huo mkakati wenu. Ni mzuri sana kwa kukuza waandishi wachanga wa mashairi. Tuanzishe blogu nyingi zaidi kama hizi. Mimi pia huwa naandika Mashairi. Tunategemea mengi kutokana na hili mlilolianzisha.
    Asante!

    JibuFuta