Header Ads

test

Karibu katika tamasha la ubunifu na maonyesho ya vitabu.



              BOOKS FESTIVAL NI NINI ?

Ni Tamasha la namna ya pekee kutokea Tanzania mahali ambapo Waandishi wa vitabu, wasomaji na wabunifu wa kitanzania hukutana pamoja. Kupeana udhoefu ili kujenga nchi yao.

                      Kutakuwa nini basi ?

Tamasha litabeba dhana ya kuibadili Tanzania kuwa taifa lenye maarifa na watu wake kuwa wabunifu ili kuishi kwa kutimiza ndoto zao.

               Wahusika ni akina nani ?

Wahusika ni kila mtanzania mwenye lengo la kujifunza, kwani Mashirika, Kampuni, vijana wabunifu na Waandishi watakuwepo kuonesha bidhaa na mawazo yao.







                   Litafanyika wapi ?

Litafanyika Maktaba Kuu, Siku ya Jumamosi tarehe 9/06/2018.  kuanzia saa 2 mpaka 11.

MUHIMU: KARIBU UKUTANE NA TAASISI KUBWA ZINAZOHUSIANA NA MAARIFA PAMOJA NA ELIMU KUPITIA VITABU, KAMA UNA NDOTO YA KUWA MWANDISHI BORA NA MBUNIFU, USIKOSE TAMASHA HILI

Karibu usikose.

Jisajili kupitia namba: Kwa waandishi, wabunifu na wasomaji 0758 051 641 au 0712 957 528 /E-mail vipawalinkassociation@gmail.com

Hakuna maoni