Siku ya upandaji miti,iloandaliwa na Voice Of Youth Tanzania,Mkoani Arusha.
Mbali na utunzi na uandikaji wa mashairi,MTU aitwae mashairi ana jukumu lingine kubwa la kushiriki katika masuala ya kijamii na kushirikiana na taasisi za kijamii katika kuhakikisha anasimama na kufanya kazi ambazo zinaweza kuonekana ziko mbali na fani take ya ushairi.
Kiujumla Sanaa ya ushairi inalenga jamii zote bila ya kubagua ni jamii gani na inazifikia jamii zote bila ya kubagua ni jamii yani.
Taasisi ya Voice Of Youth Tanzania kwa kushirikiana na polisi wilaya ya Arumeru iliamua kufanya zoezi la upandaji miti lilowashirikisha polisi na RAIA wa kawaida .
Zoezi lilofanyika katika katika eneo la kituo cha polisi USA River lengo likiwa ni kuyatunza mazingira na kuonyesha udugu baina ya polisi na raia
Picha ya pamoja ya vijana waloshiriki zoezi la upandaji miti wakiwa na polisi.
Mwenyekiti wa taasi ya Voyota akichimba mashimobkwa ajili ya upandaji miti.
Picha ya pamoja baada ya uupandaji miti.
Nikiwa na wadau wa masuala ya kijamii na wapenzi wa ushairi toka chuo cha maendeleo ya jamii Tengeru Arusha.
Post a Comment